WAFANYABIASHARA MIKOA YA KANDA YA KASKAZINI WAONYESHA NIA YA KUITUMIA BANDARI YA TANGA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAFANYABIASHARA MIKOA YA KANDA YA KASKAZINI WAONYESHA NIA YA KUITUMIA BANDARI YA TANGA


Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama katikati akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya Bandari hiyo kwa wafanyabiashara wa Mikoa ya kanda ya Kaskazini waliotembelea na kuvutiwa kupitisha shehena za mizigo yao Wafanyabiashara hao wakiendelea kupata ufafanuizi wa masuala mbalimbali Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama kushoto akiwa na Katibu tawala Msaidizi wa mkoa wa Kilimanjaro wakitembelea eneo la Bandari ya Tanga.Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama akizungumza na wafanyabiashara hao Mwakilishi wa Mkurugenzi mkuu wa Bandari nchini Lydia Mallya akizungumza ambapo aliwataka wafanyabiashara hao kutumia bandari hiyo kwani tayari ni bandari ya viwango vya kimataifa. Katibu Tawala Msaidizi wa mkoa wa Kilimanjaro akizungumza kulia ni Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama  Mwenyekiti wa TCCIA mkoa wa Kilimanjaro Patrick Shirima akizungumza katika hafla hiyo Sehemu ya ujumbe wa wafanyabiashara kutoka mikoa ya Kanda ya Kaskazini wakifuatilia nyumba anayefuatilia ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More