WAFANYABIASHARA TUMIENI MAKAMPUNI YALIYOSAJILIWA NA TIRA KUAGIZA BIDHAA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAFANYABIASHARA TUMIENI MAKAMPUNI YALIYOSAJILIWA NA TIRA KUAGIZA BIDHAA

Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima nchini Dkt. Abdallah Saqware Baghayo akizungumza na waalimu, viongozi wa kijiji cha Gedamar Mkurugenzi wa Kampuni ya Bima ya Jubilee. Dipankar AcharyaMeneja wa TIRA Kanda ya Kaskazini Eliezer RweikizaMkuu wa Kitengo cha fedha kutoka Jubilee Life Insuarence Helena Mzena akizungumza katika hafla hiyoMeneja wa Kampuni ya Bima Jubilee Kanda ya Kaskazini Sweetbert Lasway akizungunza na wazazi na wanafunzi katika shule ya msingi GedamarKamishana wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Nchini Dkt.Abdallah Saqware akibadilishana mawazo na viongozi wa kijiji cha Gendemar pamoja na waalimu wa shule ya msingi GendermarPicha ya pamoja. Picha zote na Vero Ignatus
Vero Ignatus, Manyara. 
Kamishna wa Bima Tanzania Dkt.Abdallah Saqware Baghayo amewata wafanyabiashara hapa nchini wanaoagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kwa kutumia njia ya magari,ndege,meli ikatiwe Bima kutoka katika makampuni yaliyosajiliwa na mamlaka hiyo.
Akizungumza wakati wa kukabidhi Madarasa Mawili Of... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More