WAFANYABIASHARA WALIOWEZESHWA NA BENKI YA CRDB KWENDA NCHINI CHINA WAREJEA NCHINI, WAELEZA FURSA WALIZOZIONA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAFANYABIASHARA WALIOWEZESHWA NA BENKI YA CRDB KWENDA NCHINI CHINA WAREJEA NCHINI, WAELEZA FURSA WALIZOZIONA

Baadhi ya wafanyabiashara waliopata fursa ya kuhudhulia maonyesho ya kibiashara yaliyoambatana na mafunzo ya uwekezaji katika sekta ya kilimo nchini China ambao waliwezeshwa safari yao na Benki ya CRDB kwa ushirikiano na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA) wakiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es salaam walioporejea nchini baada ya kutembelea viwanda mbalimbali vya nchini China kwa mafunzo. Jumla ya wafanyabiasahara 60 kutoka maeneo mbalimbali nchini walihuhudhulia mafunzo hayo ya siku kumi (10) yatakayo wawezesha kutanua mtandao na kufungua soko jipya la kibiashara baina yao na wale wa kutoka China.Mmoja wa viongozi wa safari hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA), Francis Lukwaro akizungumza na waandishi wa habari juu ya fursa za kibiashara walizoziona nchini China ambazo wameahidi kuzifanyia kazi hapa nchini.
Afisa Mahusiano wa Benki ya CRDB, Agnes Ngalo akizungumzia na waandhishi wa habari muda mfup... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More