WAFANYABIASHARA WASHUKURU FURSA WALIYOIPATA KUPITIA MKUTANO WA SADC - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAFANYABIASHARA WASHUKURU FURSA WALIYOIPATA KUPITIA MKUTANO WA SADC

Wafanyabiashara ndogondogo, wachonga Vinyago na Wachoraji wa picha mbalimbali wanaouza bidhaa zao kwa wajumbe wa mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo kwa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC),katika barabara ya chuo cha IFM, wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, wakiwahudumia watu mbalimbali waliofika katika eneo hilo kwa ajili ya kununua mahitaji yao .Aidha wafanyabiashara hao wameishukuru Serikali kwa kuwapa fursa hiyo ya kuonyesha na kuzaa bidhaa zao huku wakizidi kujitangaza na kutanua wigo wa biashara zao. (Picha zote Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)Wafanyabiashara ndogondogo, wachonga Vinyago na Wachoraji wa picha wakiendelea na kazi.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More