WAFANYAKAZI BENKI YA TIB CORPORATE WAMTEMBELEA MKURUGENZI WA TTCL - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAFANYAKAZI BENKI YA TIB CORPORATE WAMTEMBELEA MKURUGENZI WA TTCL

WAFANYAKAZI benki ya TIB Corporate leo wamemtembelea mteja wake ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) Waziri Waziri Kindamba.
Wafanyakazi hao wamemtembelea kwajili ya kujitathmini juu ya huduma zao katika wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila ifikapo Oktoba kila mwaka.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) Waziri Waziri Kindamba akizungumza na MICHUZI BLOG amewashukuru benki ya TIB kwa kufanya kazi kwa ufanisi pamoja na uaminifu.
Pia amewapongeza kwa kufika ofisini kwake na ka kufanya kazi kwa vitendo sio kukaa ofisini na kuwashukuru wateja wake.Mfanyakazi wa benki ya TIB Corporate, Grace Wilbard akimpa ua Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) Waziri Waziri Kindamba wakati alipotembelewa na wafanyakazi wa wa benki ya Tib Corporate jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni njia moja wapo ya kusheherekea wiki ya huduma kwa mtaja ambayo hufanyika kila oktoba. Mkurugenzi Mkuu wa Shi... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More