WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAPATIWA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAPATIWA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO

 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Idara ya Udhibiti hali hatarishi, Anderson Mlabwa akizungumza jambo wakati wa kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wa Benki hiyo juu ya kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapotokea, yaliyoendeshwa na wakufunzi kutoka Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Makao Makuu, jijini Dar es salaam. Katikati ni Mkuu wa Chuo cha Zimamoto na Uokoaji nchini, Kamshna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto, Bakari Mrisho na kushoto ni Meneja wa Benki ya CRDB Kitengo cha Uendelezaji wa Biashara, Eng. Misana Mutani Mkuu wa Chuo cha Zimamoto na Uokoaji nchini, Kamshna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto, Bakari Mrisho akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wa Benki hiyo juu ya kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapotokea, yaliyoendeshwa na wakufunzi kutoka Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Makao Makuu, jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Lumumba, Pendo Assey (kulia) pamoja na Meneje wa Benki ya CRDB Tawi la Viva Premier... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More