Wafanyakazi wa Taasisi ya JKCI waadhimisha sherehe ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wafanyakazi wa Taasisi ya JKCI waadhimisha sherehe ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akikata keki ya kuadhimisha miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo Septemba 5, 2015 katika sherehe iliyofanyika  hivi karibuni kwenye  hoteli ya Protea Court Yard Sea view iliyopo jijini Dar es Salaam. Mchekeshaji Bob Shaw kutoka Shirika la Cardiostart International la nchini Marekani akitoa burudani kwa wafanyakazi wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na wageni waalikwa wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo Septemba 5, 2015 iliyofanyika  hivi karibuni kwenye  hoteli ya Protea Court Yard Sea view jijini Dar es Salaam. Wafanyakazi wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na wageni waalikwa wakicheza mziki wa iyokote uliokuwa ukipigwa na bendi ya Cocodo African Music wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa Taasisi hiyo Septemba 5, 2015 iliyofanyika  hivi karibuni kwenye  hoteli ya Protea Court ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More