Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, watembelea shule za wasichana Arusha Day - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, watembelea shule za wasichana Arusha Day

 Mkuu wa mauzo wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, Brigita Stephen (kulia) akimkabidhi zawadi Mkuu wa shule ya sekondari Arusha Day, Joyce Gyunah katika hafla iliyofanyika jijini Arusha jana. Katika kuadhimisha wiki ya wanawake duniani, Wafanyakazi wa Vodacom wametembelea shule hiyo ya wasichana na kuwapatia vifaa kwa ajili ya mahitaji yao ya shule ikiwa ni jitihada za kuhakikisha watoto wa kike wanafanya vizuri katika masomo na wanatimiza ndoto na malengo yao.

Mkuu wa mauzo wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazi... Continue reading ->Source: Mwanaharakati MzalendoRead More