WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA SIERRA LEONE WAFANYAZIARA YA KUJIFUNZA MASWALA YA RASLIMALI WATU ZANZIBAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA SIERRA LEONE WAFANYAZIARA YA KUJIFUNZA MASWALA YA RASLIMALI WATU ZANZIBAR

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Asha Ali Abdalla kulia akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya ya Sierra Leone waliofika Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika katika  ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar. -Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Afya ya Sierra Leone waliofika Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika katika  ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar. Mkuu wa Msafara Katibu Mkuu Wizara ya Afya ya Sierra Leone David Banya akizungumza kuhusiana na safari yao ya kuja Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika katika  ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.Mkurugenzi Uendeshaji na Utumishi Wizara ya Afya Ramadhan Khamis Juma akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na ziara ya Wafanyakazi wa Wizara ya Afya ya Sierra Leone waliofika Zanzibar kwa ajili ya kujifunza maswala ya Raslimali watu,hafla iliofanyika nnje ya   ukumbi wa Wizara ya Afya Mn... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More