WAFUGAJI WA KUKU WAASWA KUFUATILIA MASUALA YA UFUGAJI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAFUGAJI WA KUKU WAASWA KUFUATILIA MASUALA YA UFUGAJI

WAJASILIAMALI,wafugaji wa kuku na wadau wa nyama hapa nchini wameaswa kufatilia masuala ya ufugaji kwa kuwa ufugaji unafursa nyingi hapa nchini.
Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa  ukuzaji biashara wa mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania (TanTrade) Boniface Michael wakazi akizungumza na MICHUZIBLOG jijini Dar es salaam leo.
 Amesema kuwa maonyesho hayo  nikwaajili ya kukuza biashara na kutafuta masoko ya bidhaa zinazozalishwa hapa nchini katika masoko ya ndani, kikandana kimataifa.
Michael amesema kuwa maonyesho hayo yanayofanyika jijini Dar es Salaam yapo kwaajili ya kuwaunganisha wazalishaji wa ndani ya nchi na masoko ya kimataifa pamoja na ya kikanda.
Amesema kuwa TanTrade wanakuza biashara za watengenezaji wa bidhaa mbalimbali kwa kuonyesha kupitia maonyesho ya kikanda.Amema kuwa maonyesho hayo yaliyoanza Oktoba 12 na 13 jijini Dar es Salaam lametoa fursa kwa jamii kujipatia elimu ya ufugaji wa kuku bila gharama yeyote.Kaimu Mkurugenzi wa  ukuzaji biashara wa mamlaka ya mae... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More