WAFUGAJI WATUMIA SIMU KUYAFUATA MALISHO NA MAJI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAFUGAJI WATUMIA SIMU KUYAFUATA MALISHO NA MAJI

Kaimu Mkurugenzi wa PCI, Jennifer Waugaman akiwa na Mratibu wa PCI ncuini, John Lafa(kulia) wakipewa zawadi baada ya kuzindua mradi huo.Mwandishi wetu, Monduli.
Wafugaji wa wilayani tatu za mkoa wa Arusha,watakuwa wakifikia malisho na maji ya mifugo yao kwa kutuma ujumbe wa simu kuulizia eneo lenye maji na malisho na kujulishwa.
Mradi huu umezinduliwa jana na shirika la kimataifa la PCI ,l, katika kijiji cha Arkaria wilayani Monduli na utatekelezwa pia wilaya za Longido na Ngorongoro ambazo zina idadi kubwa ya mifugo.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Rais wa PCI, Carrie Hetessler-Radelet alisema, wafugaji kupitia simu zao za mkononi, baada yakupakuwa application ya Afriscout watatuma bure ujumbe kwenda15054 kuuliza malisho na maji.
Hetessler –Radalet amesema baada ya kuuliza,mtandao huo utaonesha ramani za sehemu ya maji na malisho ambayo imepigwa angani.
Amesema mradi huo, utawezesha wafugaji kuacha kusafiri muda mrefu kusaka malisho, kuharibu mazingira lakini pia utapunguza vifo v... Continue reading ->
Source: KajunasonRead More