Wafungwa wateka gereza, watoa masharti mazito - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wafungwa wateka gereza, watoa masharti mazito

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wafungwa wanaoshikiliwa kwenye gereza la Juba nchini Sudan Kusini wanadaiwa kuliteka gereza hilo huku wakiwa na silaha ikiwemo bunduki na visu, wakishinikiza kuachiliwa huru kwa wafungwa wa kisiasa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa BBC Swahili, umeripoti kwamba wafungwa hao ambao idadi yao rasmi haijajulikana, walimzidi ...


Source: MwanahalisiRead More