Waganga wa kienyeji mbaroni Mwanza - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waganga wa kienyeji mbaroni Mwanza

JESHI la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu watatu kwa kosa la kufanya shughuli za uganga wa kienyeji bila kibali. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Akizungumza na wanahabari leo tarehe 8 Agosti 2018, Kamanda wa Polisi Mwanza, DCP Ahmed Msangi watuhumiwa hao, John Luzaria, Masanja Majige na Mariamu Ramadhani, wote wakazi wa Kijiji cha Mahando walikamatwa ...


Source: MwanahalisiRead More