Waganga waliomponza Mobetto kwa Diamond waingia Kenya kwa kasi (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waganga waliomponza Mobetto kwa Diamond waingia Kenya kwa kasi (Video)

Muimbaji kutoka nchini humo, @violakaruri ambaye kwa sasa anajipanga Alhamisi hii kuachia wimbo wake mpya uitwao ‘Leo’, amesema ukipita katika mitaa mingi ya Kenya utakutana na mabango ya waganga wa jadi kuhusu mapenzi na utajiri na utambulisho wao mkubwa wanaandika wanatoka Tanzania.Wiki moja iliyopita mzazi mwenza wa Diamond, Hamisa Mobetto alijikuta matatani baada ya kunaswa sauti zake akiongea na mganga wa jadi ishu ya kutaka kumtuliza baba watoto wake huyo kupitia mbinu za kishirikina.


The post Waganga waliomponza Mobetto kwa Diamond waingia Kenya kwa kasi (Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More