WAGOMBEA 21 WACHUKUA FOMU ZA KUWANIA NAFASI MBALIMBALI KLABU YA SIMBA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAGOMBEA 21 WACHUKUA FOMU ZA KUWANIA NAFASI MBALIMBALI KLABU YA SIMBA

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKamati ya uchaguzi ya Simba imetangaza majina ya wagobea waliochukua fomu kuwania nafasi mbalimbali katika klabu hiyo uliokamilika Septemba 10 saa Kumi Jioni kama ilivyokuwa imepangwa.
Akitoa taarifa hiyo kwa niaba ya kamati, Afisa habari wa Simba Haji Manara amesema kuwa Kamati hiyo imetoa taarifa ya jumla ya fomu 21 zimechukuliwa na wagombea mbalimbali, fomu 2 zikizchukuliwa kuwania nafasi ya mwenyekiti wa klabu hiyo, fomu 2 zingine zimeenda kwa wagombea wanaowania nafasi ya wajumbe wanawake na fomu 17 ziliozosalia zmechukuliwa na wagombea wa kiumekwa nafasi ua ujumbe wa bodi.
Majina  ya wagombea hao ni kama yaliyoanishwa hapo chini
Wagombea Simba SC nafasi ya Mwenyekiti Mwenyekiti wa Bodi1. Swedi Nkwabi2. Mtemi Ramadhani

Wagombea nafasi ya wajumbe wanawake1.Jasmeen Badou2.Asha Baraka

Wajumbe wa Bodi 1. Mwina Kaduguda2. Iddi Kajuna3. Said Tulily4. Hussein Kitta Mlinga 5. Ally Suru6. Mohamed Wandi7. Hamis Mkoma8. Abdallah Migomba9. Alfred Eliya
10.Juma Ab... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More