WAHITIMU WA MAFUNZO YA RDP YA TBL WATUNUKIWA VYETI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAHITIMU WA MAFUNZO YA RDP YA TBL WATUNUKIWA VYETI

 Mkurugenzi wa ukuzaji wa Masoko wa ABIn Bev,Kanda ya Afrika Mashariki, Carlos Bernitt,akiongea wakati wa hafla ya kutunuka vyeti wahitimu wa mafunzo hayo.
Meneja Masoko na Ukuzaji Biashara wa TBL,Edith Bebwa, akiongea wakati wa hafla ya kutunuka vyeti wahitimu wa mafunzo hayo.Baadhi wa wahitimu wa mafunzo wakifuatilia matukio wakati wa hafla hiyoBaadhi ya wahitimu wakionyesha vyeti vyao wakiwa na Maofisa wa TBL na ABIn Bev---Washiriki wapatao 167 wanaofanya biashara kwa kushirikiana na kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) walioshiriki mafunzo ya ujasiriamali na mbinu za biashara yanayojulikana kama Retail Development Programme (RDP) wametunukiwa vyeti katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Wanufaika wa mafunzo haya ambao wengi wao ni wamiliki wa mabaa,mameneja wa baa na wafanyakazi wametokea katika wilaya za Temeke, Kinondoni, Kigamboni, Ilala Ubungo na yaliendeshwa na TBL chini ya kampuni mama ya ABIn Bev.
Mkurugenzi wa ukuzaji wa Masoko wa ABIn Bev,Kanda ya Afrika Mash... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More