Wahujumu miondombinu ya maji wafikia saba - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wahujumu miondombinu ya maji wafikia saba

BAADA ya uchunguzi  unaofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) juu ya hujuma ya Maradi wa Maji wa Mtomoko uliopo katika wilaya ya Chemba na Kondoa katika mkoa wa Dodoma sasa watu saba wamefikishwa mahakamaji kwa kujibu tuhuma hizo. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Awali watu watano juzi walifikishwa katika Mahakama ...


Source: MwanahalisiRead More