Waislamu kukosa Hijja baada ya ''kutapeliwa'' maelfu ya dola - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waislamu kukosa Hijja baada ya ''kutapeliwa'' maelfu ya dola

Takriban Waislamu 30 nchini Kenya wanadaiwa kushindwa kusafiri kwenda Makka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kutekeleza nguzo muhimu katika dini ya kiislam ya Hijja baada ya kutapeliwa na wakala nchini Kenya


Source: BBC SwahiliRead More