WAJALUO MAWILI KUCHEZA CHAMPIONS LEAGUE!!!: - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAJALUO MAWILI KUCHEZA CHAMPIONS LEAGUE!!!:

LIVERPOOL FC watakipiga na TOTTENHAM pale kwenye uwanja wa Estadio Metropolitan tarehe 1 Juni 2019 kwenye fainali ya Champions League.
Wakenya wawili, DIVOCK ORIGI wa LIVERPOOL na VICTOR WANYAMA wa TOTTENHAM wanatarajiwa kushuka dimbani siku hiyo.
JALUO ORIGI baba yake ni JALUO wa Kenya akiitwa MIKE OKOTH ambae pia alikuwa mchezaji hodari hadi kuchezea Harambee stars  na baadae akatimka na kuhamia Ubelgiji. ORIGI alitupia kambani mabao 2 kati ya 4 ya WATAALAM LIVERPOOL FC dhidi ya WACHOVU Barcelona.
JALUO WANYAMA ambaye ni kapteni wa Harambee stars  alitoa msaada mkubwa kwa TOTTENHAM dimba la kati hadi kuifurumusha AJAX.
Kwa kuweza kuingia fainali za Champions Lg, Wajaluo hao wawili  wamefuata nyayo za Mjaluo mwenzao MACDONALD MARIGA aliyeingia fainali akichezea INTER MILAN ya Italy ambayo ilitwaa ndoo ya CL mwaka 2010 ilipokuwa ikifundishwa na JOSE MOURINHO.
It is an all Kenyan affair in the CL Final!!... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More