WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA NYUMBA WATEULIWA. POLEPOLE MMOJA WAO - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA NYUMBA WATEULIWA. POLEPOLE MMOJA WAOWaziri Lukuvi ameteua wajumbe hao 7 wa bodi ya shirika la nyumba la taifa, jana Mei 20, 2019 siku chache baada ya Rais Magufuli kumteua Dr. Sophia Kongela kuwa Mwenyekiti wa bodi hiyo.
Wajumbe walioteuliwa ni: 
1. Bi. Immaculate Senye2. Bi. Sauda Msemu 3. Bw. Abdallah Mwinyimvua 4. Bw. Humphrey Polepole 5. Bw. Martine Madeke 6. Eng. Mwita Rubirya7. Bw. Charles Singili 
Barua ya uteuzi... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More