WAKAGUZI WA MIFUMO YA UZALISHAJI DAWA NA VIFAA TIBA (GMP) KWA NCHI ZA SADC WAPEWA SOMO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAKAGUZI WA MIFUMO YA UZALISHAJI DAWA NA VIFAA TIBA (GMP) KWA NCHI ZA SADC WAPEWA SOMO

Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk Zainab Chaula akifungua mafunzo ya wakaguzi wa Mifumo ya uzalishaji Dawa na Vifaa tiba (GMP) kwa nchi wanachama wa SADC ambapo Tanzania ndiyo mwenyeji Wakufunzi wa mafunzo hayo wanatoka Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA),Adam Fimbo.Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Habour View  jijini jijini Dar es salaam.Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA),Adam Fimbo akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wakaguzi wa Mifumo ya uzalishaji Dawa na Vifaa tiba (GMP) kwa nchi wanachama wa SADC ambapo Tanzania ndiyo mwenyeji Mafunzo hayo yanafanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Habour View jijini Dar es salaam.Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk Zainab Chaula akiteta jambo na Mratibu wa Mradi wa SADC Medicines Reguratory Harmonisation Project (SMRHP) Bi. Sa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More