WAKALA MMOJA TU WA WACHEZAJI TANZANIA NDIYE ANAYETAMBULIKA TFF - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAKALA MMOJA TU WA WACHEZAJI TANZANIA NDIYE ANAYETAMBULIKA TFF

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) inaendelea kuwakumbusha wale wote wenye nia ya kuwa Mawakala wa Wachezaji fomu bado zinapatikana.
Fomu zinapatikana kwenye tovuti ya TFF www.tff.or.tz kwa ada ya dola 100.
Baada ya kujaza fomu inayoambatana na taarifa zako kutoka Interpol utalipia ada ya dola 2000 kupitia akaunti ya Bank ambayo ipo kwenye fomu.
Mpaka sasa ni kampuni moja pekee ya Sports Soccer Management ndio inatambulika kufanya shughuli za Uwakala.
TFF inasisitiza yeyote ambaye hana leseni hatambuliki kama ni Wakala na rai yetu kwao ni kuhakikisha wanasajiliwa na kutambulika kihalali.... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More