Wakala wa Kakolanya ashangaa kipa huyo kupelekwa Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wakala wa Kakolanya ashangaa kipa huyo kupelekwa Simba

Meneja wa kipa Beno Kakolanya, Seleman Haroub ameweka wazi msimamo wake na mchezaji huyo kwamba hakuna jambo linalomalizwa kienyeji kama watu wanavyochukulia ishu ya mchezaji wake na Yanga na kwamba ikifikia hatua ya kuvunja mkataba basi watafuata taratibu zote.


Source: MwanaspotiRead More