WAKALA WA VIPIMO (WMA) WAENDELEA KUHAKIKI VIPIMO KUELEKEA MAADHIMISHO YA VIPIMO DUNIANI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAKALA WA VIPIMO (WMA) WAENDELEA KUHAKIKI VIPIMO KUELEKEA MAADHIMISHO YA VIPIMO DUNIANI

  Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akifanya ukaguzi wa Seal kwenye pampu katika kituo cha mafuta cha Total Mlimani City jijini Dar es salaam leo ili kujiridhisha kama upimaji mafuta wa Pampu ni sahihi wakati wateja wanapofanya manunuzi, Maadhimisho ya vipimo duniani yanatarajiwa kufanyika Mei 20, 2019 jijini Dar es salaam.
   Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akishuhudia wakati mafuta yakijazwa kwenye kipimo maalum cha mafuta wakati maofisa hao walipofanya ukaguzi wa Seal kwenye pampu  kituo cha mafuta cha Total Mlimani City jijini Dar es salaam leo, kushoto ni Ally Mohamed Meneja wa kituo cha Total Mlimani City.
  Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akitoa maelezo kwa waandishi wa habari  wakati wakifanya  ukaguzi wa Seal kwenye pampu katika kituo cha mafuta cha Total Mlimani City jijini Dar es salaam leo ili kujiridhisha kama upimaji mafuta wa Pam... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More