WAKANDARASI WA UMEME VIJIJINI WATAKIWA KUTOFICHA VIFAA VYA UMETA - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAKANDARASI WA UMEME VIJIJINI WATAKIWA KUTOFICHA VIFAA VYA UMETA


Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (katikati) akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuanza kupatikana kwa umeme katika Kijiji cha Magaoni wilayani Mkinga mkoani Tanga, kushoto kwake ni Mbunge wa Mkinga, Dunstan Kitandula. Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (mwenye kipaza sauti) akizungumza na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Kibiboni wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga ambapo pia alizindua huduma ya umeme katika Kijiji hicho. Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (kulia) na Mbunge wa Mkinga, Dunstan Kitandula wakipongezana mara baada ya Mbunge huyo kukabidhiwa vifaa vya Umeme Tayari (UMETA) vitakavyotumika kuunganishia umeme wananchi wa Kijiji cha Magaoni wilayani Mkinga mkoani Tanga. Baadhi ya watendaji kutoka Wizara ya Nishati, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakimsikiliza Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (hayupo pichani) wakati akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Magaoni mkoani Tanga.

WAZIRI wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amewataka ... Continue reading ->Source: Mwanaharakati MzalendoRead More