Wakazi Aelezea Mahusiano Yake na Marehemu Godzilla Kabla ya mauti. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wakazi Aelezea Mahusiano Yake na Marehemu Godzilla Kabla ya mauti.

Msanii Wakazi amefunguka na kuelezea mahusiano yake kabla ya kifo cha mwanamuziki Godzilla ambae alionekana kuwa na tofauti nae hapo kipindi cha nyuma.


Wakazi anasema kuwa pamoja na kwamba walikuwa wakipishana katika itikadi za kimuziki lakini ameshukuru mungu kuwa kabla mauti kumfika tayari walikuwa wamemaliza tofauti zao na kufikia hatua nzuri ya kuwa karibu kam wasanii.


Bado wakazi anajali na kutambua mchango mkubwa wa Godzilla katika muziki kiais kwamba anona ni pengo kubwa sana limepotea kwa msanii huyo.


View this post on Instagram@wakazimusic ameandika haya kuhusu Zilla. Inakumbukwa vyema wakali hao wa michano waliwahi kupishana lakini kabla ya kifo walipatana. Inaelezwa kwamba Zilla pia alipata na washkaji wengine ambao pengine alikuwa na bifu nao au watu walihisi ana bifu nao akiwemo @billnass. . Wakazi ameeleza mengi yanayopaswa kukumbuka kutoka kwa #GodZillah ikiwemo ukweli kwamba yeye ndo aliipa umaarufu Salasala. Kingine kikubwa ni kwamb... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More