Wakazi afunguka mipango ya 40 ya Godzilla na tuhuma za kula rambi rambi ‘Fid Q alikosea kuweka mtandaoni’ (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wakazi afunguka mipango ya 40 ya Godzilla na tuhuma za kula rambi rambi ‘Fid Q alikosea kuweka mtandaoni’ (+video)

Rapper Wakazi amefunguka kuhusu mipango ya 40 ya marehemu Godzilla ambapo amesema kuwa kwa sasa anashirikiana na familia ya Godzilla kuweza kuchapisha T-shirts na kumalizia album ili wauze siku ya 40 kwa lengo la kumsaidia mtoto wa marehemu.Wakazi akiongea na Bongo5, amesema pia alisikitishwa na kauli ya Fid Q aliyoitoa siku akimkabidhi rambi rambi mama yake na Godzilla kutoka kwa RC Makonda.


The post Wakazi afunguka mipango ya 40 ya Godzilla na tuhuma za kula rambi rambi ‘Fid Q alikosea kuweka mtandaoni’ (+video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More