WAKAZI WA BURKA KISONGO-ARUSHA WAPATA HOSPITALI YA KISASA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAKAZI WA BURKA KISONGO-ARUSHA WAPATA HOSPITALI YA KISASA

Hatimaye ahadi ya Mbunge wa Arusha Mjini Mhe Godbles Lema ya kuwasaidia akina Mama na Watoto kwa kuwapatia hospitali maalumu kwa ajili yao, lwa sasa imekamilika kupitia ufadhili wa Mawalla Trust na Maternity Africa kwa kuunganishwa na taasisi ya Arusha Development Fund (ArDF).
Hospitali hiyo ipo eneo la Burka Kisongo ambapo itawahudumia wakazi wa Burka na maeneo ya jirani, inatarajiwa kuzinduzi rasmi kesho Juni 9, 2018! Wananchi wote wanakaribidhwa kushuhudia uzinduzi.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG


Source: KajunasonRead More