WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM NA PWANI WAENDA KUPATA NEEMA YA MAJISAFI NA SALAMA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM NA PWANI WAENDA KUPATA NEEMA YA MAJISAFI NA SALAMA

Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na wanahabari ndani ya Maonesho ya 43 ya Kitaifa ya Biashara Sabasaba 2019 mara baada ya kutembelea banda lao kungalia jinsi wanavyotoa huduma kwa wananchi.Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja (kwanza kushoto) akisikiliza watoa huduma mara baada ya kuwasili bandano hapo kujionea jinsi wanavyotoa huduma.
 Dawati la huduma kwa wateja wakiendelea kutoa huduma kwa wateja waliofika kwenye Banda la Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASA) kwenye Banda lao la Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam.Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akifafanuliwa jambo na dawati la kutoa huduma kwa wananchi.Mwanahabari Zaynab akipata maelezo ya vifaa vinavyotumika katika kuungalishia wateja maji.
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja (kushoto) akipata maeleozo kutoka kwa Meneja Uhusiano wa DAWASA Joseph Mkonyi (kushoto) mara baada ya kutoka katika band... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More