WAKAZI WA MBEZI KWA MSUGULI KUPATA MAJI YA UHAKIKA BILA MGAO TOKA DAWASA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAKAZI WA MBEZI KWA MSUGULI KUPATA MAJI YA UHAKIKA BILA MGAO TOKA DAWASA

Meneja wa DAWASA- Kimara jijini Dar es Salaam Paschal Fumbuka (kulia) na Msimamizi wa Bomba kubwa la MajiSafi na MajiTaka la DAWASA Mhandishi Gibson Baragula (kushoto) wakimwonyesha mwanahabari bomba lililotobolewa ili kuweza kusambazia maji wakazi wa Mbezi kwa Msuguli jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
 Meneja wa DAWASA- Kimara jijini Dar es Salaam Paschal Fumbuka (kulia) wakimwonyesha mwanahabari jinsi maji yanavyotoka katika maungio ya bomba lililotobolewa ili kumaliza mgao kwa wakazi wa Mbezi wa Msuguli jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake.Wafanyakazi wa DAWASA wakiendelea na zoezi la uunganishaji wa mabomba.
Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Wakazi wa Mbezi Kwa Msuguli na vitongoji vyake jijini Dar es Salaam wanatarajia kuanza kupata maji bila ya mgao mara baada ya kukamilika uunganishwaji wa bomba jipya.
Bomba hilo jipya la Mamlaka ya MajiSafi na MajiSafi (DAWASA) litajibu kero ya mgao waliyokuwa wakipata wakazi wa Bwaloni, Msa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More