WAKAZI WA SIMIYU WAFURAHIA BIDHAA NDANI YA BANDA LA TIGO MAONESHO YA NANENANE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAKAZI WA SIMIYU WAFURAHIA BIDHAA NDANI YA BANDA LA TIGO MAONESHO YA NANENANE

Wakazi mbali mbali wa Simiyu wakipatiwa huduma na mtoa huduma waTigo, Emmanuel Pius katika harakati za kununua simu za mkononi zinazotolewa kwa punguzo la bei na kampuni ya mawasiliano ya Tigo katika maonesho ya Kitaifa ya Nane Nane yanayoendelea katika Uwanja wa Nyakabindi uliopo katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mkoa wa Simiyu..Wakazi mbali mbali wa Simiyu wakipatiwa huduma na mtoa huduma waTigo, Emmanuel Pius katika harakati za kununua simu za mkononi zinazotolewa kwa punguzo la bei na kampuni ya mawasiliano ya Tigo katika maonesho ya Kitaifa ya Nane Nane yanayoendelea katika Uwanja wa Nyakabindi uliopo katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mkoa wa Simiyu..Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More