Wakili Kuuli ajiuzulu uwenyekiti kamati uchaguzi TFF - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wakili Kuuli ajiuzulu uwenyekiti kamati uchaguzi TFF

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wakili Revocatus Kuuli amejiuzulu kuongoza kamati na uongozi wa shirikisho hilo umesema kujiuzulu kwake siyo tatizo kwao kazi zitaendelea kama kawaida.


Source: MwanaspotiRead More