WAKILI MWAE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 5 AU KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI 200 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAKILI MWAE AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 5 AU KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI 200


NaVero Ignatus ,Arusha

Hukumu ya kesi ya utakatishaji fedha haramu iliyokuwa inamkabili wakili maafuru Jijini Arusha Mediam Mwale imetolewa desema 3 na Jaji Isa Maige wa Mahakama kuu kanda ya Arusha ambapo amemuhukumu kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya shilingi milioni 200

Mshtakiwa analazimika kulipa faini na kama akishindwa atatumikia kifungo cha miaka mitano na kwa kipindi ambapo atakuwa hajakidhi matakwa ya adhabu hiyo atabaki kizuizini

Jaji Isa ameiambia mahakama kuwa mshitakiwa Mediam Mwale amekiri makosa kwa hiari yake mwenyewe na kwamba hiyo ni dalili tosha ya kuwa ameungama na anajutia makosa na kukiri kwake kuna faida mbili katika mfumo mzima wa haki jinai mshtakiwa ameokoa muda na rasilimali za mahakama

Ameiambia mahakama kuwa kukiri kwa mshtakiwa wakwanza kumeondoa uwezekano kukwepa kwa njia za kiufundi hayo ameyazingatia kwani mshtakiwa ni kosa lake la kwanza siyo mkosaji sugu asiyeweza kurekebishika, kuungama kwake kunaonyesha kuwa yupo tayari k... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More