Wakili wa Kabendera ‘aipigia magoti’ mahakama  - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wakili wa Kabendera ‘aipigia magoti’ mahakama 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Septemba 2019, imeombwa kulielekeza Jeshi la Magereza kuruhusu Mwandishi wa Habari za uchunguzi Erick Kabendera kupata matibabu, kutokana na afya yake kkuzidi kuzorota. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Mbele ya Hakimu Augustine Rwizile, Wakili wa Kabendera, Jebra Kambole amedai, hali ya mwanahabari huyo ni ...


Source: MwanahalisiRead More