Wakili wa Mbowe alivyombana kwenye ‘kona’ shahidi wa Jamhuri - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wakili wa Mbowe alivyombana kwenye ‘kona’ shahidi wa Jamhuri

BAADA ya shahidi namba saba wa Jamhuri, Victoria Wihenge kumaliza kutoa ushidi wake kwenye kesi ya uchochezi namba 112/2018 inayomuhusu Freeman Mbowe, Mwenyekiti Chadema Taifa na wenzake wanane, alihojiwa na wakili wa utetezi Peter Kibatala. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kesi hiyo inamuhusu Mbowe, Mwenyekiyi wa Chadema Taifa, Dk.Vicent Mashinji, Katibu Mkuu-Taifa; John Mnyika, Naibu ...


Source: MwanahalisiRead More