Wakili wa Mbowe, shahidi Jamhuri walivyotoana jasho  - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wakili wa Mbowe, shahidi Jamhuri walivyotoana jasho 

BERNALD Nyambari, aliyekuwa Msaidizi wa Upepeli Mkoa wa Kipolisi Kinondoni na shahidi namba nane wa Jamhuri katika kesi ya uchochezi namba 112/2018, inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake wanane, amehojiwa unadhifu wake? Anaripoti Faki Ssosi…(endelea). Wakili wa utetezi Peter Kibatala, leo tarehe 11 Agosti 2019 amemhoji Nyambari “kwanini hukuvaa vesti?” ili aonekane nadhifu mahakamani. Ilikuwa ni awamu ...


Source: MwanahalisiRead More