WAKOPESHWA ML 80 KWA AJILI YA KUIMARISHA VIKUNDI VYA KIUCHUMI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAKOPESHWA ML 80 KWA AJILI YA KUIMARISHA VIKUNDI VYA KIUCHUMI


JUMLA ya shilingi milioni 50,363.400 zimetolewa kama mkopo usiokuwa na riba kwa vikundi 32 vya vijana,wanawake na walemavu katika Halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma.
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru Gasper Balyomi alisema, lengo la mikopo hiyo kuyawezesha makundi hayo kiuchumi ili yaweze kukuza miradi,kuhimarisha vikundi na kutoa nafuu kwa wanavikundi namna Bora ya kufanya shughuli zao bila bughuza.
Balyomi alisema, mkopo huo kwa vikundi hivyo pia ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2015-2020 inayotaka kila Halmashauri hapa nchini kutenga na kutoa asilimia 10 ya mapato ya ndani kusaidia makundi maalum .
Kwa mujibu Balyomi, hii ni mara ya pili kwa Halmashauri kutoa mikopo kwa vikundi mwaka 2019 ambapo Mwezi Februari walitoa shilingi milioni 33.500.000 kwa vikundi 10 vya vijana,10 wanawake na vikundi 4 vya walemavu.
Aidha,amewahasa wana vikundi kubuni miradi iliyo na faida na ya kiushindani kutokana na utandawa... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More