Wakosoaji wanadai zawadi ya gari iliyotolewa haiendani na hadhi ya taji la Miss Tanzania. - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wakosoaji wanadai zawadi ya gari iliyotolewa haiendani na hadhi ya taji la Miss Tanzania.

Muandaaji wa mashindano ya ulimbwende ya Miss Tanzania Basila Mwanukuzi ameiambia BBC kuwa wale wote wanaotoa kasoro mashindano ya mwaka huu, wanachuki na hawapendi maendeleo.


Source: BBC SwahiliRead More