WAKULIMA DAKAWA WANUFAIKA NA KILIMO CHA UMWAGILIAJI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAKULIMA DAKAWA WANUFAIKA NA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

Na Mwandishi Maalum - DAKAWAWakulima wa kilimo cha Mpunga katika skimu ya kilimo cha Umwagiliji ya Dakawa wamenufaika na kilimo hicho baada ya serikali kukarabati mindombinu ya umwagilijai ikiwa ni pamoja na ujenzi wa barabara, ofisi, ukarabati wa pump na  mifereji ya upili.Hayo yameelezwa Mjini Dakawa na  Mhandisi wa Kanda ya Morogoro kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Senzie Meeda, alipozungumza na waandishi wa habari  walipotembelea skimu ya umwagiliaji ya Dakawa.Mhandisi Meeda, ameeleza kuwa Serikali kupitia shirika la kimaitaifa la misaada la Marekani USAID lmetumia takribani kiasi cha shilingi Bilioni 20, katika ujenzi wa skimu hiyo,  na mpaka sasa asilimia themanini (80%) ya kazi hiyo inaendelea vizuri na inategemea kukamilika mwezi December mwaka huu.“Njia zote za kwenda mashambani zinapitika, maeneo ya pembezoni ambayo yalikuwa hayafikiki mwanzoni sasa yanafikika, Pump Mpya za kisasa zinazotumia umeme mdogo zimefungwa hivyo uzalishaji umeongezeka ambapo mkulima anaweza... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More