WAKURUGENZI WA BODI YA TPA WAKAGUA GATI YA BANDARI YA KASSANGA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAKURUGENZI WA BODI YA TPA WAKAGUA GATI YA BANDARI YA KASSANGA

Meneja wa Bandari za Ziwa Tanganyika, Bw Ajuaye Msese, kulia akimuonyesha Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA, Prof Ignatus Rubaratuka moja ya mashine za kupakua na kupakia mizigo melini wakati  Wakurugenzi wa Bodi hiyo pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TPA Mhandisi Deusdedit Kakoko walipokuwa wakikagua gati ya Bandari ya Kassanga iliyopo Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TPA, Prof Ignatus Rubaratuka akiangalia jinsi gati ya Bandari ya Kassanga iliyopo Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa ilivyojengwa.Wakurugenzi wa bodi ya TPA wakibadilishana mawazo na meneja wa bandari za Ziwa Tanganyika wakati wakikagua gati ya Bandari ya Kassanga iliyopo Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More