WALIMU NA WAZAZI SHULE YA MUYOVOZI WABUNI MIRADI KUJIKWAMUA KIELIMU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WALIMU NA WAZAZI SHULE YA MUYOVOZI WABUNI MIRADI KUJIKWAMUA KIELIMU

Moureen Rogath, Michuzi TV, Buhigwe.  Katika kuhakikisha ufaulu wa wanafunzi wa shule za msingi ni unakua ,wazazi na walimu wameweza kubuni mikakati na miradi mbalimbali kwa lengo la wanafunzi kusoma katika mazingira rafiki. 
 Akizungumza leo mwalimu mkuu wa shule ya msingi Muyovozi, iliyopo kata ya Biharu wilayani hapa, Alfed Japhet alisema shule zimekuwa na changamoto mbalimbali ambazo zimekuwa zikijirudia, na kwamba waliazimia kupunguza au kumaliza kabisa. 
 Alisema walianza kwa kufuga mizinga ya nyuki 10 ambayo wakivuna fedha itaweza kuwasaidia katika mahitaji mbalimbali ya shuleni hapo na si kutegemea fedha kutoka serikali kuu. Mwenyekiti wa shule hiyo Mark Matini, alisema walipokea fedha kiasi cha Sh 1.5 milioni kutoka kwa Mpango wa Kuinua Elimu ya Msingi(Equip), kwa awamu ya kwanza na Sh.550,000 kwa awamu ya pili.
 “Fedha hizi zikipatikana zitatusaidia kununua mahitaji muhimu kwa shule na wanafunzi mfano, taulo za kike, kuwaboreshea miundombinu kwani kama wananfunz... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More