WALIMU WA SHULE YA WASIOONA BUIGIRI WAPATIWA MAFUNZO YA HEDHI SALAMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WALIMU WA SHULE YA WASIOONA BUIGIRI WAPATIWA MAFUNZO YA HEDHI SALAMA

Baadhi ya washiriki ambao ni walemavu wasioona wanaohudhuria mafunzo ya hedhi salama kwa watoto wa kike na makundi maalum ya walemavu, mafunzo hayo yanaendeshwa na Shirika la Kimataifa la Water Supplies Corraboration Council katika Wilaya ya Chamwino Jijini Dodoma. 

Jamii imetakiwa kuchukua hatua ikiwemo ya kutoa elimu sahihi katika makundi mbalimbali ikiwemo ya walemavu wa aina zote hususan wasioona. 
Hayo yamesemwa leo na muelimishaji mwandamizi wa masuala ya hedhi salama Bi.Dhahia Mbaga kutoka shirika la kimataifa la Water Suppliers Sanitation Corraborative Council wakati wa mafunzo kwa walimu na walezi wa shule maalum ya watoto wasioona ya Buigiri iliyopo wilayani hapa katika kuelekea maadhimisho ya siku ya hedhi salama duniani. 
Bi.Mongi amesema malengo ya mafunzo hayo ni kuongeza maarifa na kuweka mazingira rafiki kwenye vyoo ambapo vinatakiwa kuwa na usafi, maji yanayotiririka pamoja na chumba maalumu kwa ajili ya watoto wanaopevuka kwa kubadilisha vifaa vya hedhi. 
Aidha, amese... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More