Walimu wakana kumuua mwanafunzi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Walimu wakana kumuua mwanafunzi

WALIMU wa Shule ya Msingi Kibeta, Respicius Mtaganzira na Herieth Gerald wanaotuhumiwa kumuua kwa kukusudia aliyekuwa mwanafunzi wa shule hiyo, Sperius Eradius, wamekana mashtaka yao. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mwalimu Mtaganzira anadaiwa kumsababishia kifo Sperius aliyekuwa anasoma darasa la tano, kwa kumpiga baada ya mwalimu Gerald ambaye ni mtuhumiwa wa pili katika kesi hiyo, ...


Source: MwanahalisiRead More