Walimu walionyimwa stahiki zao wamchongea Mkurugenzi kwa Jafo - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Walimu walionyimwa stahiki zao wamchongea Mkurugenzi kwa Jafo

WALIMU watano waliohamishwa kutoka kituo cha kazi cha shule ya sekondari Kisasa katika Jiji la Dodoma na kupangwa kwenye vituo vingine bila kulipwa stahiki zao za uhamisho, wamepeleka kilio chao kwa Waziri wa TAMISEMI, Suleiman Jafo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kutokana na hali hiyo walimu hao (wameomba majina yao yahifadhiwe) wamemuomba Waziri Jafo ...


Source: MwanahalisiRead More