Walinda amani wa MONUSCO wauawa DRC: Wamo Watanzania na Malawi - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Walinda amani wa MONUSCO wauawa DRC: Wamo Watanzania na Malawi

Umoja wa Mataifa umesema walinda wake amani wapatao saba wameuawa katika mapigano yaliyozuka karibu na mji wa Beni kaskazini mwa Kivu, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.


Source: BBC SwahiliRead More