Waliokutwa na madini kinyume na sheria, wakwepa kifungo - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waliokutwa na madini kinyume na sheria, wakwepa kifungo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu miaka mitatu jela ama kulipa faini ya Sh. 24 milioni wafanyabiashara wawili wa madini baada ya kukiri kosa la kukutwa na madini ya Coloured Gemstones yenye thamani ya Dola za Kimarekani 1.8 milioni. Anaripoti Khalifa Abdallah … (endelea). Pia mahakama hiyo imeamuru madini hayo yataifishwe. Hata hivyo, washtakiwa hao wameweza kuepuka ...


Source: MwanahalisiRead More