Waliosambaza vitabu feki watimuliwa kazi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waliosambaza vitabu feki watimuliwa kazi

WATUMISHI takribani 29 wa Taasisi ya Elimu nchini (TIE) wamesimamishwa kazi na kufunguliwa mashtaka ya kinidhamu kutokana na sakata la baadhi ya vitabu vya kujifunzia wanafunzi wa darasa la kwanza hadi la tatu vyenye makosa kutumika shuleni. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Hayo yamesemwa leo tarehe 12 Septemba 2018 jijini Dodoma na Waziri wa Elimu, ...


Source: MwanahalisiRead More