Waliouawa kanisani Sri Lanka wafika 290 - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waliouawa kanisani Sri Lanka wafika 290

MIILI ya watu waliopoteza maisha katika shambulio la kigaidi kwenye makanisa matatu na hoteli za kifahari nchini Sri Lanka, imefikia 290. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Shambulizi la mabomu katika makanisa yaliyoko Negombo, Batticaloa na Wilaya ya Colombo Kochchikade pamoja na hoteli za Shangri-La, Kingsburry na Common Grand yalitokea wakati wa ibada ya Sikuu ...


Source: MwanahalisiRead More