Wambura afikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka 17 - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wambura afikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka 17

Aliyekuwa Makamu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na akikabiliwa na mashtaka 17, yakiwemo ya kughushi, kuwasilisha nyaraka za kughushi na uhujumu uchumi.


Source: MwanaspotiRead More