WAMBURA AWAONYA WAAMUZI, LIGI KUENDELEA WIKIENDI HII - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAMBURA AWAONYA WAAMUZI, LIGI KUENDELEA WIKIENDI HII


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.LIGI kuu Tanzania Bara inatarajia kuendelea tena mapema wikiendi hii kwa timu zote 20 kuanza kukamilisha  mzunguko wa nne  wa ligi huku timu za Simba, Yanga na Azam ratiba zao za zikitafutiwa ratiba nyingine.
Akizungumzia ratiba ya ligi, Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi  Boniface Wambura amesema mzunguko wa nne wa ligi utaanza wikiendi hii baada ya kumalizika kwa ratiba ya michezo ya kimataifa ya kirafiki ya FIFA iliyochezwa tarehe 3 hadi 11 Septembe.
Amesema kutokana na kalenda ya FIFA, kuna baadhi ya mechi za Simba, Yanga na Azam zuki zilizoondolewa kwa ajili ya kupisha ratiba hiyo na wao kuwa na mechi pungufu baada ya  wachezaji wao kwenda katika timu za taifa na kupelekea kuhairisha mechi zao.
Wambura amesema kuwa, kwa timu zilizokuwa hazijakilimisha mzunguko wa pili na wa tatu watapangiwa tarehe ya kucheza mechi zao kwani kwa sasa kutakuwa na ligi ndefu ,mechi nyingi 380 na hiyo ni  kutokana na timu kuwa nyingi.
"timu ambazo hazijafanikiwa kufi... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More